Nyumba ya Kupanga - Mikocheni A - Vyumba 3 - Gari ndani
Tsh 800,000
Mikocheni A - Dar es Salaam
Nyumba na Ardhi
9 views
3 weeks ago
Maelezo
<p>Nyumba nzuri sana ya kupanga katika eneo zuri la Mikocheni A, Dar es Salaam. Ina vyumba 3 vya kulala, sebule kubwa, jiko la kisasa, choo 2, na nafasi ya gari ndani. Ina maji ya DAWASCO na umeme wa TANESCO wa uhakika. Karibu na shule, hospitali na maduka.</p><p><strong>Kodi:</strong> Shilingi 800,000 kwa mwezi (miaka miwili ya mapema)</p>
Tsh 800,000
Muuzaji
Fatuma Real Estate
Mikocheni A - Dar es Salaam
Tahadhari: Jiepushe na malipo ya mapema kabla ya kuona bidhaa.